Bani Israil 17:90 وقالوا لن نومن لك حتى تفجر لنا من الارض ينبوعا ٩٠
وَقَالُواْ
لَن
نُّؤۡمِنَ
لَكَ
حَتَّىٰ
تَفۡجُرَ
لَنَا
مِنَ
ٱلۡأَرۡضِ
يَنۢبُوعًا
٩٠
Na walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Qur’ani ilipowaelemea washirikina na ikawashinda, waliingia kutaka miujiza kulingana na mapendeleo yao wakasema, «Hatutakuamini, ewe Muhammad, na hatutafanya vile unavyosema mpaka utupasulie kwenye ardhi ya Makkah chemchemu ya maji yenye kupita.
Na Qur’ani ilipowaelemea washirikina na ikawashinda, waliingia kutaka miujiza kulingana na mapendeleo yao wakasema, «Hatutakuamini, ewe Muhammad, na h…